Treni
Mandhari
Treni (kutoka Kiingereza train; huitwa pia gari la moshi au garimoshi) ni chombo cha usafiri kwenye reli za garimoshi. Pia anaendesha hili jombo anaitwa nahodha.
Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injinitreni kwenye njia ya reli. Mfumo wa usafiri kwa treni huitwa kwa kifupi reli.
Mabehewa haya yanaweza kubeba watu au mizigo, hivyo kuna tofauti kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo.
Mahali ambako treni inasimama na kupokea abiria au mizigo huitwa kituo cha reli.
Picha
-
Treni yenye injini ya umeme
-
GE U20C in Indonesia, #CC201-05
-
Gari moshi lenye ukubwa kamili huko Indonesia, #CC203-22
-
Gari moshi inayoendeshwa kwa kutumia kompyuta huko Indonesia, #CC204-06
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |