Thriller (wimbo)
“Thriller” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Thriller | |||||
B-side | Can't Get Outta The Rain | ||||
Imetolewa | 23 Januari 1984 | ||||
Muundo | 7", 12", CD single | ||||
Imerekodiwa | 1982 | ||||
Aina | Dance-pop, funk | ||||
Urefu | 5:57 (albamu) 5:12 (2003 Single Edit) | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Rod Temperton | ||||
Mtayarishaji | Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
| |||||
Sampuli ya Sauti | |||||
[[Image:|180px|center|noicon]][[:Image:|file info]] · help | |||||
"Thriller" ni kibao kilichotamba cha mwaka wa 1984 ambacho kiliimbwa na msanii wa rekodi za muziki wa Marekani, Michael Jackson. Kibao hicho kilifanyiwa katika studio ya Epic. Nchini Marekani, kilishika nafasi ya nne kwenye chati za Billboard Hot 100 na namba moja kwenye chati za Radio & Records, wakati nchini Uingereza, kilishika nafasi ya kumi. Mnamo tar. 20 Februari 2006, single hii, vilevile video yake, zote zilitolewa tena kwenye albamu ya nyimbo mchanganyiko ya Visionary: The Video Singles. Video ya Thriller ulitazamiwa na MTV[1] kama muziki bora wa video wa "muda wote" (karne), na wenyewe unafikirika kuwa kama ndiyo moja ya alama ya nyimbo za Michael Jackson. Wimbo ulitolewa mapema kabisa nchini Uingereza, mnamo mwezi wa Novemba 1983.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (1983/1984) | Nafasi ili |
---|---|
Australian ARIA Charts | 4 |
Belgium Singles Chart | 1 |
Danish Singles Chart | 3 |
Dutch Singles Chart | 3 |
French Singles Chart | 1 |
German Singles Chart | 21 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Swedish Singles Chart | 20 |
UK Singles Chart | 10 |
U.S. Billboard Hot 100 | 4 |
U.S. Billboard Hot Black Singles | 3 |
Chart (2009) | Peak position |
Australian ARIA Charts | 3 |
Danish Singles Chart | 32 |
Finnish Singles Chart[2] | 11 |
German Singles Chart[3] | 9 |
Spanish Singles Chart | 1 |
Norwegian Singles Chart[4] | 8 |
Irish Singles Chart | 8 |
Italian Singles Chart | 4[5] |
New Zealand Singles Chart | 12 |
UK Singles Chart | 12 |
U.S. Billboard Hot Digital Songs[6] | 2 |
Waliosampo
[hariri | hariri chanzo]Wimbo huu (hasa kicheko cha Vincent Price cha mwishoni mwa wimbo) kimesampuliwa kwenye nyimbo kibao yaani:
- Biz Markie – "Muddfoot"
- Def Squad – "No Guest List"
- DJ Jazzy Jeff & the Fresh Prince – "He's the DJ, I'm the Rapper — House Party Style"
- Large Professor – "Mad Scientist"
- N.W.A. – "100 Miles and Runnin'"
- The Prodigy – "The Way It Is"
- Public Enemy – "Fear of a Black Planet"
- Lidzlicious the Velvet Pole – "Thriller (Stanley Remix)"
- Kool Moe Dee – "Let's Go"
- Esham – "Closed Casket"
- Paul Hardcastle – "The Wizard"
- Busta Rhymes akishirikiana na Linkin Park – "We Made It"
- Blue kaimba "Thriller", "Beat It" na "Smooth Criminal" katika Guilty Tour.
- Quasimoto – "BullyShit"
- Three 6 Mafia – "They Bout To Find Yo Body"
- Herve – "Cheap Thrills"
Megamix ya Thriller
[hariri | hariri chanzo]“Thriller Megamix” | |||||
---|---|---|---|---|---|
“Thriller Megamix” cover | |||||
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya King of Pop | |||||
Imetolewa | Januari 2009 | ||||
Aina | Dance-pop, funk | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtunzi | Mbalimbali | ||||
Mtayarishaji | Mbalimbali | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Thiller Megamix ni toleo rasmi la megamix la mwaka wa 2009 la Michael Jackson na ndiyo single pekee kutoka katika albamu ya King of Pop. Hii pia ndiyo single yake ya mwisho kabla ya kufa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.rockonthenet.com/archive/1999/mtv100.htm rockonthenet.com
- ↑ Suomen virallinen lista
- ↑ https://acharts.us/song/7886
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.
- ↑ "Italian Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-09. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.
- ↑ "US Hot Digital Songs Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-17.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Thriller (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |