Nenda kwa yaliyomo

Heal the World

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Heal the World”
“Heal the World” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Dangerous
Imetolewa Novemba, 1992
Muundo CD single
Imerekodiwa 1991
Aina R&B, Soul
Urefu 6:25
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
David Foster
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Who Is It"
(1992)
"Give In to Me"
(1993)

"Heal the World" ni wimbo wa Michael Jackson kutoka katika albamu yake kali ya Dangerous, iliyotolewa mnamo mwaka wa 1991. muziki wa video wa wimbo huu unaonyesha watoto wadogo wanaoshi katika maisha magumu na ya tabu - hasa yale yasiyopumzika katika hali ya kivita. Na ni video pekee ambayo Michael Jackson hakuonekana yeye mwenyewe, nyingine yake ni "Cry", "HIStory" na "Man in the Mirror". (Vipande vya kwenye wimbo wa "HIStory" na "Man in the Mirror" imemwonyesha Michael Jackson kidogo sana hasa kama kwenye kihifadhio). Video pia unamaarufu kwa kuonekana kwa 50 Cent wakati yuko bwana mdogo [1].

Ilivyopokelewa

[hariri | hariri chanzo]

Wimbo umefika nafasi ya #2 katika chati za UK Singles Chart kunako mwezi wa Desemba 1992, imewekwa kando kutoka nafasi ya #1 na wimbo wa Whitney Houston wa I Will Always Love You". Wimbo huu haukufanya vizuri kabisa kabisa katika Marekani, na ulifikia nafasi ya #27 kwenye chati za Billboard Hot 100, na kuufanya uwe wimbo wake wa pili kutofikia hata Ishirini Bora.

Orodha ya Nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Toleo Halisi

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Heal the World" (7" edit) – 4:31
  2. "Heal the World" (Album version) – 6:25
  3. "She Drives Me Wild" – 3:41
  4. "Man in the Mirror" – 4:55

Visionary Single

[hariri | hariri chanzo]
CD side
  1. "Heal the World" (7" edit)
  2. "Will You Be There"
DVD Side
  1. "Heal the World" (Music video)

Mamixi Yake

[hariri | hariri chanzo]
  1. Album version – 6:25
  2. 7" edit w/intro
  3. 7" edit
  4. Spoken
Chati (1992/1993) Nafasi
Iliyoshika
Australian Singles Chart 20
Austrian Singles Chart 4
Canadian Singles Chart 9
Dutch Singles Chart 4
Eurochart Hot 100 Singles 2
French Singles Chart 2
German Singles Chart 3
Irish Singles Chart 2
Israeli Singles Chart 2
New Zealand RIANZ Singles Chart 3
Norwegian Singles Chart 3
Spanish Singles Chart 1
Swedish Singles Chart 15
Swiss Singles Chart 5[2]
UK Singles Chart 2
US Billboard Hot 100 27
US Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 62
US Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 9
Chati (2006) Nafasi
Iliyoshika
Dutch Singles Chart 40
French Singles Chart 60
Spanish Singles Chart 1
Italian Singles Chart 13
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 26
Austrian Singles Chart 22
Danish Singles Chart 7
Dutch Singles Chart 46
German Singles Chart 18
Irish Singles Chart 22
New Zealand Singles Chart 19
Norwegian Singles Chart 3
Swedish Singles Chart 18
Swiss Singles Chart 9[2]
UK Singles Chart 44[3]

Matunukio

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Matunukio Mauzo
Ujerumani Dhahabu[4] 250,000
New Zealand Gold[5] 7,500[6]
  1. "Heal The World (Music Video)". Epic Records. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
  2. 2.0 2.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009.
  3. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
  4. https://www.musikindustrie.de/gold_platin_datenbank/
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-07-25. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-26. Iliwekwa mnamo 2009-07-25.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heal the World kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.