Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kastamonu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manispaa ya Kastamonu
Mkoa wa Kastamonu
Maeneo ya Mkoa wa Kastamonu nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo: 13,108 (km²)
Idadi ya Wakazi 322,759 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 37
Kodi ya eneo: 0366
Tovuti ya Gavana https://www.kastamonu.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kastamonu
Ofisi ya kihistoria ya Gavana

Kastamonu ni mkoa uliopo nchini Uturuki. Upo katika Kanda ya Bahari Nyeusi , kaskazini mwa nchi. Umezungukwa na Sinop upande wa mashariki, Bartın na Karabük upande wa magharibi, Çankırı upande wa kusini, Çorum upande wa kusini-mashariki na Bahari Nyeusi upande wa kaskazini.

Wilaya za mkoani hapa

[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kastamonu umegawanyika katika wilaya 20 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kastamonu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.