Mkoa wa Aydın
Mandhari
Mkoa wa Aydın | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Aydın nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Aegean |
Eneo: | 8007 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 998,621 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 09 |
Kodi ya eneo: | 0256 |
Tovuti ya Gavana | https://www.aydın.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/aydın |
Aydın ni mkoa uliopo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye Kanda ya Aegean . Mji mkuu wa mkoani hapa ni Aydın ambao una makadirio ya wakazi wapatao 150,000 (2000).
Wilaya za mkoani hapa
[hariri | hariri chanzo]Mkoa wa Aydın umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):
- Aydın
- Bozdoğan
- Buharkent
- Çine
- Didim
- Germencik
- Incirliova
- Karacasu
- Karpuzlu
- Koçarlı
- Köşk
- Kuşadası
- Kuyucak
- Nazilli
- Söke
- Sultanhisar
- Yenipazar
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- official information and municipality bulletin Ilihifadhiwa 30 Aprili 2009 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- official website of the provincial governorate (Kiingereza)
- local information Ilihifadhiwa 26 Juni 2010 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- Aydın Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- [https://web.archive.org/20160109092339/https://www.aydininciri.com/ Ilihifadhiwa 9 Januari 2016 kwenye Wayback Machine. Aydin İnciri TAnitim Sitesi (Kituruki)
- [https://web.archive.org/20070616095156/https://www.aydinfigs.com/ Ilihifadhiwa 16 Juni 2007 kwenye Wayback Machine. aydin figs inform<tion(Kiingereza)
- [https://web.archive.org/20151014235614/https://www.otelcenneti.com/oteller/izmir Ilihifadhiwa 14 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine. İzmir Hotels<tion(Kiingereza)