Nenda kwa yaliyomo

Epsilon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pai 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Koppa 90
Heta 8 Sampi 900
Yot 10 Sho 900
1 Viungo vya nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_nje

Epsilon (ἒ ψιλόν - "e ya kawaida") ni herufi ya tano katika alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa Ε (herufi kubwa mwanzoni) au ε (herufi ndogo ya kawaida).

Jina la "e ya kawaida" limetokea kwa kuitofautisha na herufi "αι" zilizokuwa na matamshi yaleyale.

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fizikia.

Pesa ya Euro inatumia epsilon yenye mistari miwili kama alama yake.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Epsilon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Epsilon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.