Zoe Saldana
Zoe Saldana | |
---|---|
Saldana, mnamo Julai 2014 | |
Amezaliwa | 19 Juni 1978 New Jersey, Marekani[1][2] |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1999–mpaka sasa |
Tovuti rasmi |
Zoé Yadira Zaldaña Nazario[1][3] (anafahamika zaidi kama Zoe Saldana, wakati mwingine huandikwa Zoë[4]; amezaliwa 19 Juni 1978) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Alipata uhusika wake katika filamu ya mwaka wa 2000 Center Stage, na baadaye kupata umaarufu zaidi kwa uhusika wa Anamaria kwenye Pirates of the Caribbean: Curse of the Black Pearl, Uhura kwenye filamu ya mwaka wa 2009 Star Trek, na Neytiri kwenye filamu ya James Cameron Avatar. Mwaka wa 2010, ameonekana kwenye filamu ya The Losers na Takers.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Saldana alizaliwa kama Zoé Yadira Zaldaña Nazario huko mjini Passaic, New Jersey,[2][5] Marekani, na Aridio Zaldaña, Mdominika, na Asalia Nazario, M-Puerto Rika.[6][7][8][9]
Lugha yake ya kwanza ni Kiingereza na Kihispania. Ametumia utotoni mwake akikulia huko mjini Queens, New York. Akiwa na umri 10, alihamia Jamhuri ya Dominika, ambapo waliishi kwa miaka mingine saba. Saldana amejiunga katika darasa la ballet katika moja kati ya shule za dansi za majigambo katika Jamhuri ya Dominika. Baada ya kurudi mjini Queens akiwa na umri wa 17, akaanza kutumbuiza kikindi cha kibisa cha Faces, ambacho kinachohusisha na michezo ya kusambaza ujumbe wa kheri kwa vijana, kupitia mandhari yanayohusiana na masuala ya utumiaji wa dawa za kulevya na ngono kwa ujumla. Michezo hiyo haikumpa uzoefu wa haja tu bali ilikuwa chanzo cha majivuno na sifa kubwa kwake, pindi alipogundua ya kwamba analeta mabadiliko katika maisha ya vijana wa lika lake. Wakati anatumbuiza na kikundi cha kibisa cha Faces na pia New York Youth Theater Zoe akachaguliwa na wakala wa vipaji. Mafunzo yake ya dansi katika miaka ya awali, jumosha na uzoefu wake wa uigizaji, kumemsaidia vilivyo kuwekza kucheza vyema uhusika wake wa kwenye skrini kubwa akiwa kama Eva, akiwa kama mcheza ballet mwenye kipaji na ushapavu katika filamu ya mwaka wa 2000 Center Stage.
Tar. 30 Juni 2010, imetangazwa kwenye Us Weekly kwamba Saldana amevishwa pete na bwana wake wa miaka 10, mwigizaji na CEO wa My Fashion Database Keith Britton.[10]
Filmografia
[hariri | hariri chanzo]Filamu | |||
---|---|---|---|
Mwaka | Filamu | Uhusika | Maelezo |
2000 | Center Stage | Eva Rodriguez | Kama Zoë Saldana |
2001 | Get Over It | Maggie | Kama Zoë Saldana |
Snipes | Cheryl | aka Prolifik | |
2002 | Crossroads | Kit | Kama Zoë Saldana |
Drumline | Laila | Kama Zoë Saldana | |
2003 | Pirates of the Caribbean: The Curse of the Black Pearl | Anamaria | |
2004 | The Terminal | Dolores Torres | Kama Zoë Saldana |
Haven | Andrea | ||
Temptation | Annie | ||
2005 | Constellation | Rosa Boxer | |
Guess Who | Theresa Jones | Kama Zoë Saldaña
Amechaguliwa kwa ajili ya Black Movie Award Amechaguliwa kwa ajili ya Black Reel Award Amechaguliwa kwa ajili ya Image Award | |
Dirty Deeds | Rachel Buff | Kama Zoe Saldaña | |
La maldición del padre Cardona | Flor | Kama Zoe Saldaña | |
2006 | Premium | Charli | |
Ways of the Flesh | Donna | aka The Heart Specialist | |
2007 | After Sex | Kat | |
Blackout | Claudine | ||
2008 | Vantage Point | Angie Jones | Kama Zoë Saldana |
2009 | Star Trek | Nyota Uhura | Kama Zoë Saldana
Amechaguliwa kwa ajili ya ALMA Award Amechaguliwa kwa ajili ya Teen Choice Award |
The Skeptic | Cassie | ||
Avatar | Neytiri | Empire Award for Best Actress
Amechaguliwa kwa ajili ya National Movie Award Amechaguliwa for a Black Reel Award Amechaguliwa for an Image Award | |
2010 | The Losers | Aisha | As Zoë Saldana |
Takers | Rachel Jansen | ||
Death at a Funeral | Elaine | Amechaguliwa- Teen choice award: Actress Comedy | |
Burning Palms | Sara Cotton | Inahaririwa | |
2011 | Colombiana[11] | Cat | ipo matengenezoni |
2012 | Untitled Star Trek Sequel | Nyota Uhura | Kama Zoë Saldana |
TBA | Avatar 2 | Neytiri | Being Written |
Televisheni | |||
Mwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
1999 | Law & Order | Uncredited | Sehemu: Refuge, Part 1 |
2004 | Law & Order: Special Victims Unit | Gabrielle Vega | Sehemu: "Criminal" |
2006–2007 | Six Degrees | Regina | Sehemu 5 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Zoe Saldana Biography (1978-)". Iliwekwa mnamo 2008-10-16.
- ↑ 2.0 2.1 "The Official Website of Zoe Saldana — Biography". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-23. Iliwekwa mnamo 2010-10-10.
- ↑ "Zoe Saldana, con la crítica a sus pies", 2010-01-04. Retrieved on 2010-01-16. (Spanish) Archived from the original on 2010-01-18.
- ↑ For the spelling and her own pronunciation of her professional name, please see: "YouTube — Conversation with Avatar's James Cameron and stars Sam Worthington and Zoe Saldana". Iliwekwa mnamo 2010-01-07. It is linked from the official website of Avatar.
- ↑ Jason Buchanan (2008). "Zoe Saldana:Biography on MSN". MSN. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-29. Iliwekwa mnamo 2008-07-29.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) - ↑ "PopEntertainment.com: Zoe Saldana interview about 'Haven.'". 2006-09-12. Iliwekwa mnamo 2010-01-04.
My mom is Puerto Rican and my father is Dominican.
- ↑ Balfour, Brad. "HAVEN : An Interview with Zoe Saldana", Blackfilm, Septemba 2006. Retrieved on 2010-01-04. "ZS: My mom is Puerto Rican and my father is Dominican."
- ↑ Boucher, Geoff (2009-11-23). "'Avatar' star Zoe Saldana says the movie will match the hype: 'This is big'". Iliwekwa mnamo 2010-01-04.
My family background is from the Dominican Republic and Puerto Rico
{{cite web}}
: Text "Hero Complex" ignored (help); Text "Los Angeles Times" ignored (help) - ↑ "ZOE SALDANA TRABAJO DE ESTRELLA", El Nuevo Herald, 2003-10-02. Retrieved on 2010-04-19.
- ↑ "Avatar's Zoe Saldana Is Engaged!", UsMagazine.com.
- ↑ https://www.imdb.com/title/tt1657507/
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website
- Zoe Saldana at the Internet Movie Database
- Zoe Saldana katika All Movie Guide
- Zoe Saldana katika Rotten Tomatoes
- Zoë Saldana at Memory Alpha (a Star Trek Wiki)
- "Brant Publications interview (July 2004)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-27. Iliwekwa mnamo 2010-10-26.