Uhalisia
Mandhari
Uhalisia (kutoka Kiarabu "halisi"; kwa Kiingereza Reality) ni hali iliyopo kweli, tofauti na matarajio au tafsiri za binadamu ambaye mara nyingi anashindwa kuipokea.[1]
Kwa upana zaidi, uhalisia unajumlisha hata mambo yasiyofikiwa na milango ya fahamu, vifaa na mawazo ya binadamu.
Wanafalsafa, wanahisabati, wanasayansi na wengineo wamejitahidi tangu zamani kuelewa uhalisia, wakitoa majibu mbalimbali.
Mara nyingi uhalisia unagonganishwa na ndoto na ndoto za mchana, maigizo na propaganda, pamoja na uongo wa kila namna.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Compact Oxford English Dictionary of Current English, Oxford University Press, 2005. (Full entry for reality: "reality • noun (pl. realities) 1 the state of things as they actually exist, as opposed to an idealistic or notional idea of them. 2 a thing that is actually experienced or seen. 3 the quality of being lifelike. 4 the state or quality of having existence or substance.")
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- C.D. Broad on Reality
- Stanford Encyclopedia of Philosophy on Realism
- Video: Carl Sagan on the 4th Dimension Explanation
- Video: Animated version of the above with Dr Quantum - Flatland
- Phenomenology Online: Materials discussing and exemplifying phenomenological research
- Concept and Reality, a Meditatiion Perspective Ilihifadhiwa 8 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine.
- The Illusion of Reality by Jim AL-Khalili Ilihifadhiwa 29 Desemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- The Matrix as Metaphysics by David Chalmers Ilihifadhiwa 9 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- The Universes of Max Tegmark
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |