Nenda kwa yaliyomo

Tawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Matawi ya vipimo mbalimbali.
Matawi na majani.

Tawi (kwa Kiingereza: branch) ni sehemu ya mti isiyokuwemo katika shina lake.

Kulingana na aina ya mti, matawi yake yanaweza na umbo na ukubwa tofauti sana.

Kwa mfano wa miti, vitu vingine vinaweza kuwa na matawi, kwa mfano: mto (tawimto), kampuni (kampuni tanzu) n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tawi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.