Nenda kwa yaliyomo

T.I.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
T.I.
T.I. akiimba, mnamo September 2012
T.I. akiimba, mnamo September 2012
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii T.I.
Nchi Marekani
Alizaliwa 25 Septemba 1980
Aina ya muziki Hip hop na rap
Kazi yake Mwanamuziki
Mtunzi wa nyimbo
Mwigizaji
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 2001 - hadi leo
Ameshirikiana na Young Jeezy
Young Dro
Lil Wayne
B.G.
DJ Drama
Nelly
Busta Rhymes
Ciara
Rick Ross
Kanye West
B.o.B.
Ala Sauti
Kinanda
Kampuni Grand Hustle Records
Atlantic Records

Clifford Joseph Harris Jr. (amezaliwa tar. 25 Septemba 1980) ni rapa wa muziki a hip hop, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio ya Grand Hustle Records. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama T.I. pia humwita T.I.P.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

T.I. ni rapa Mwafrika-Mwamerika kutoka mitaa ya Westside Bankhead Zone 1 Kusini mwa Marekani. Jina lake halisi la kisanii ni T.I.P., linatokana jina lake la utani wakati wa udogo wake "Tip", ambalo alipewa na babu yake.

Kuvuma kwake kwa, kulipelekea washabiki wake kulichukua jina lake "poa poa", ikamlazimu kulibadilisha na kuliita "T.I.P". Pindi alipotia saini mkataba na studio ya Arista Records inayosaidiwa na studio ya LaFace Records mnamo 2001, akalifupisha jina lake na kuliita T.I. kwa heshima na taazima ya mwanamuziki mwezake aitwaye Q-Tip.

Pia anafahamika kwa mtindo wake wa kutembea na "Rababendi" na kujitangazia kuwa yeye ndiyo "Mfalme wa Kusini" (ambapo imeleta matatizo mengi ya hapa na pale na baadhi ya marapa wengine waishio kusini humo). T.I. ana watoto watano. Majina yao ni Messiah Ya'Majesty Harris, Domani Uriah Harris, Deyjah Harris, Clifford Joseph "King" Harris III, na Major Harris.

Albamu zake

[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu ya: Albamu za T.I.

Televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • 2005: The O.C.]], T.I.
  • 2006: The Fuse, T.I. akiwa na Timothy Hodge na Erica Newell
  • 2005: Punk'd, T.I.
  • 2008: Entourage

Filamu za kawaida

[hariri | hariri chanzo]
  • 2006: ATL, Rashad Swann
  • 2007: American Gangster, Stevie Lucas
  • 2008: Once Was Lost, Slam
  • 2008: For Sale[1]
  • 2009: Fast and Furious, Troy
  1. Omar Burgess (8 Mei 2008). T.I. Speaks On Rescheduled "Paper Trail". Imeingizwa kunako tarehe 13 Juni 2008.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: