Sekundo wa Asti
Mandhari
Sekundo wa Asti (alifariki Asti, Piemonte, Italia Kaskazini, 29 Machi 119) anakumbukwa kama Mkristo aliyefia imani yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Hadrian[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Torino Medievale - Percorso - Porta Doranea". www.archeogat.it. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2018-03-17.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ [1]
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints of March 29: Secundus of Asti Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- San Secondo di Asti (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |