Murray River
Chanzo | Snowy Mountains |
Mdomo | Goolwa, South Australia |
Nchi | Australia |
Urefu | km 2,575 |
Kimo cha chanzo | m 1,430 |
Tawimito upande wa kulia | Swampy Plains River, Murrumbidgee River, Darling River |
Tawimito upande wa kushoto | Mitta Mitta River, Kiewa River, Ovens River, Goulburn River, Campaspe River, Loddon River |
Mkondo | m3 767 |
Eneo la beseni | km² 1,061,469 |
Mto Murray ndio mto mrefu kabisa kwenye bara la Australia. Huanza kwenye Snowy Mountains na hutiririka magharibi hadi kuishia kwenye Bahari Pasifiki karibu na Goolwa, Australia Kusini.
Kwa sehemu kubwa ya njia yake huwa mpaka kati ya majimbo ya Victoria na New South Wales . Matawimto yanayojiunga na Murray ni pamoja na Mto Darling, Mto Lachlan, Mto Murrumbidgee na Mto Goulburn.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kwa maelfu ya miaka, Mto Murray umejulikana kwa Waaustralia asilia waliouita kwa majina yao kama vile Millewa na Tongala.
Mto huo uliitwa Mto wa Hume baada ya kutembelewa na wapelelezi wa Ulaya Hamilton Hume na William Hovell mnamo Novemba 1824. Baadaye lilibadilishwa kwa kuita mto kwa jina la mwanasiasa Mwingereza, Sir George Murray.
Usafiri kwenye mto ulikuwa na ugumu mwanzoni kwa sababu mdomo wa Murray baharini haina kina ya kutosha kwa meli kuingia mtoni. Tangu mwaka 1853 meli ndogo zilipelekwa barani zikaanzisha usafiri wa mtoni. [1]
Mto ulikuwa muhimu sana kwa kubeba watu na bidhaa hadi kujengwa kwa reli. Kufikia mwaka 1900 biashara ya mtoni ilikuwa imekwisha tena. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The River Murray". South Australian History. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-07-20. Iliwekwa mnamo 2008-08-13.
- ↑ Australian Encyclopaedia Vol. VI. Angus and Robertson. 1958. ku. pg 208.
{{cite book}}
:|pages=
has extra text (help); Cite has empty unknown parameter:|coauthors=
(help)
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Isaacs, J. (1980). Australian Dreaming: 40,000 Years of Aboriginal History. Sydney: Lansdowne Press. ISBN 0-7018-1330-X.
- Frankel, David. (2017). Between the Murray and the Sea: Aboriginal Archaeology in South-eastern Australia. Sydney: Sydney University Press. ISBN 9781743325520
- Mackay, Norman; Eastburn, David, whr. (1990). The Murray. Canberra: Murray-Darling Basin Commission. ISBN 1-875209-05-0.
- Berndt, Ronald M. & Catherine H. (1993). A World That Was: The Yaraldi of the Murray River and the Lakes, South Australia. Vancouver, Canada: UBC Press. ISBN 0-7748-0478-5.
- Jennings, J.T. (2009). Natural History of the Riverland and Murraylands. Adelaide: Royal Society of South Australia. ISBN 978-0-9596627-9-5.
Viungo vya audio na video
[hariri | hariri chanzo]- "Murray River catchment (NSW)" (map). Office of Environment and Heritage. Government of New South Wales.
- Down the River Murray An ABC Radio National 5-part series on the river and its people
- Murray Region Tourist Information - VisitNSW
Makala hii kuhusu maeneo ya Australia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Murray River kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |