Hiva Oa
Mandhari
Hiva Oa ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Nuku Hiva. Eneo la kisiwa ni 316 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Atuona. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 2190. Watu wakaao kisiwani kwa Hiva Oa huongea Kimarkesa ya Kusini na Kitahiti.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|