George Minot
Mandhari
George Richards Minot (2 Desemba 1885 – 25 Februari 1950) alikuwa mwanafizioljia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza na kutibu upungufu wa damu. Mwaka wa 1934, pamoja na George Whipple na William Murphy alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Minot kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |