Charlie Chaplin
Mandhari
Charlie Chaplin | |
---|---|
Amezaliwa | Charles Spencer Chaplin 16 Aprili 1889 London, Uingereza |
Amekufa | 25 Desemba 1977 (umri 88) Corsier-sur-Vevey, Uswizi |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1899–1975 |
Ndoa | Mildred Harris (1918-1920) Lita Grey (1924-1927) Paulette Goddard (1936-1942) Oona O'Neill (1943-hadi kufa kwake) |
Watoto | 11 |
[charliechaplin.com Tovuti rasmi] |
Charlie Chaplin (16 Aprili 1889 – 25 Desemba 1977) alikuwa mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa Kiingereza. Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu za kimya za vichekesho. Aliigiza, aliongoza, alizipanga scripti na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.
Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takribani kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin mara nyingi iliitwa "the Tramp". Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali likubwa, viatu na kofia nyeusi huku akichekesha watu.
Filamu alizocheza
- 1914: Making a Living
- 1916: The Floorwalker
- 1916: The Fireman
- 1916: The Vagabond
- 1916: One A.M.
- 1916: The Count
- 1916: The Pawnshop
- 1916: Behind the Screen
- 1916: The Rink
- 1917: Easy Street
- 1917: The Cure
- 1917: The Immigrant
- 1917: The Adventurer
- 1918: A Dog's Life
- 1918: The Bond
- 1918: Shoulder Arms
- 1919: Sunnyside
- 1919: A Day's Pleasure
- 1921: The Kid
- 1921: The Idle Class
- 1922: Pay Day
- 1923: The Pilgrim
- 1925: The Gold Rush
- 1928: The Circus
- 1931: City Lights
- 1936: Modern Times
- 1940: The Great Dictator
- 1947: Monsieur Verdoux
- 1952: Limelight
- 1957: A King in New York
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti rasmi
- Charlie Chaplin Website
- The Chaplin Museum Archived 13 Septemba 2010 at the Wayback Machine.
- The Charlie Chaplin Archive
- Wasifu
- Charlie Chaplin Biography
- David Gerstein's Chaplin Celebration Archived 12 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- Charlie Chaplin's Golden Silence
- Clown Ministry's biography of Charlie Chaplin Archived 8 Aprili 2013 at the Wayback Machine.
- Charlie Chaplin - Biography - Photos - Kiera Chaplin, granddaughter of Charlie Chaplin Archived 14 Agosti 2007 at the Wayback Machine.
- Filamu
- Charles Chaplin at the Internet Movie Database
- Charles Chaplin katika TCM Movie Database
- Muziki
- Tovuti za mashabiki
- The Little Fellow: A Charlie Chaplin Fan Page Archived 23 Oktoba 2021 at the Wayback Machine.
- Nyinginezo
- Obituary, NY Times, December 26, 1977 Chaplin's Little Tramp, an Everyman Trying to Gild Cage of Life, Enthralled World
- Chaplin Review Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- Charlie Chaplin Photo Galleries Archived 19 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- A collection of tribute webpages to Charlie Chaplin at Classicmovies.org Archived 16 Julai 2010 at the Wayback Machine.
- Chaplin - An essay by Aaron Hale
- Charlie Chaplin: A WWW Celebration
- Charlie Chaplin FBI File Archived 2 Machi 2011 at the Wayback Machine.
- The TIME 100: Charlie Chaplin
- Lloyd vs. Chaplin "Who's the Champeen?"
- Download Charlie Chaplin Movies
- Chaplin films at ednapurviance.org Archived 31 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
- Charlie Chaplin Videos Archived 1 Machi 2008 at the Wayback Machine.
Marejeo
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlie Chaplin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |