Nenda kwa yaliyomo

Black & Blue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Black & Blue
Black & Blue Cover
Kasha ya alabamu ya Black & Blue.
Studio album ya Backstreet Boys
Imetolewa 21 Novemba 2000
Imerekodiwa 1 Julai 2000
Aina Pop, R&B, Power pop, Dance
Urefu 45:55
Lugha Kiingereza
Lebo Jive
Mtayarishaji Max Martin, Kristian Lundin, Rodney Jerkins, Rami, Kenneth "Babyface" Edmonds, Per Magnusson, David Kreuger
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Backstreet Boys
Millennium
(1999)
Black & Blue
(2000)
The Hits: Chapter One
(2001)
Single za kutoka katika albamu ya {{{Jina}}}
  1. "It's True"
    Imetolewa: 28 Agosti 2000
  2. "Shape of My Heart"
    Imetolewa: 31 Oktoba 2000
  3. "The Call"
    Imetolewa: 6 Februari 2001
  4. "More Than That"
    Imetolewa: 17 Julai 2001


Black Blue ni albamu ya Backstreet Boys iliyotolewa baada ya albamu ya Millenium. Hii ni albamu yao ya nne (lakini albumu yao ya tatu kutolewa nchini Marekani). Huko nchini Marekani, Black & Blue iliuza nakala milioni 1.6 katika wiki yake ya kwanza ya kutolewa, [1] na kuifanya kundi la kwanza katika historia ya SoundScan iliyouza zaidi ya nakala milioni moja kwenye wiki ya kwanza.

Albamu hii ilirikodi mauzo bora ya kimataifa katika wiki ya kwanzaa kwa kuuza zaidi ya nakala milioni 5 kote duniani katika wiki yake ya kwanza ya mauzo.Albamu ilikuwa namba ya nane kwenye orodha ya albamu za mauzo bora [2]nchini Marekani mwaka wa 2000. Albamu hii ilithibitishwa platinum katika zaidi ya nchi 30 na ya dhahabu katika mikoa 10 kote duniani kwenye wiki yake ya kwanza. Ingawa ilipata mauzo bora, Black na Blue haikufikia mafanikio ya albamu mbili zao za awali. Single ya kwanza ya albamu hii ilikuwa "Shape of My Heart", ilifuatiwa na "The Call" na "More Than That." Wanachama wa bendi hii waliandika nyimbo tanokatika albamu hii. Black & Blue iliuza albamu milioni 24 kote duniani.

Nyimbo zake

[hariri | hariri chanzo]
  1. "The Call" (Max Martin, Rami) - 3:24
  2. "Shape of My Heart" (Max Martin, Lisa Miskovsky, Rami) - 3:50
  3. "Get Another Boyfriend" (Max Martin, Rami) - 3:08
  4. "Shining Star" (Carter, Dorough, Jernberg, Wennerberg) - 3:26
  5. "I Promise You (With Everything I Am)" (Hill) - 4:25
  6. "The Answer To Our Life" (Carter, Dorough, Littrell, McLean, Richardson) - 3:20
  7. "Everyone" (Kristian Lundin, Andreas Carlsson) - 3:33
  8. "More Than That" (Anders, Jernberg, Wennerberg) - 3:44
  9. "Time" (Carter, Dorough, Littrell, McLean, Richardson) - 3:58
  10. "Not For Me" (Kristian Lundin, Andreas Carlsson) - 3:18
  11. "Yes, I Will" (Kieruf, McLean, Schwartz) - 3:52
  12. "It's True" (Richardson, Martin, Carlsson) - 4:16
  13. "How Did I Fall In Love With You?" (Howie Dorough, Fromm, MacColl) - 4:06
Nyimbo za ziada


  1. "What Makes You Different (Makes You Beautiful)" (Dorough, Diamond, Carlsson) - 3:35
  2. "All I Have To Give (Acapella)" (Full Force) - 3:48

Album

Chati Namba Thibitisho Mauzo
Argentinian Albums Chart 40,000
Australian Albums Chart 2 Platinum 100,000
Austrian Albums Chart Platinum 10,000
Brazilian Albums Chart Platinum 250,000
Canadian Albums Chart 1 Diamond 1,000,000
European Albums Chart 1 2x Platinum 2,000,000
Finnish Albums Chart 30,000
French Albums Chart
German Albums Chart 1 Platinum 1,000,000
Mexican Albums Chart 2x Platinum 500,000
Norwegian Albums Chart Gold 15,000
Polish Albums Chart 15,000
UK Albums Chart Gold 100,000
U.S. Billboard 200 1 8x Platinum 8,000,000
  1. Flashback 2000 - Flashback 2000: 'N Sync, Britney, Eminem, na Backstreet Boys Set Sales Records
  2. "Top 200 Albamu ya mwaka 2000!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2001-03-31. Iliwekwa mnamo 2001-03-31.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]