Nenda kwa yaliyomo

Baraza la Utafiti wa Mazingira Asilia (Uingereza)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baraza la Utafiti wa Mazingira Asilia (kifupi: NERC) ni baraza la utafiti la Uingereza ambalo linasaidia shughuli za utafiti, mafunzo na uhamishaji maarifa katika sayansi ya mazingira.[1]

  1. "Chief of Environment Research Council", The Times, London: Times Newspapers, 5 February 1965, p. 12. 
Makala hii kuhusu "Baraza la Utafiti wa Mazingira Asilia (Uingereza)" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.