Nenda kwa yaliyomo

Abondi na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abondi na wenzake Abondansi, Machano na Yohane (walifariki Rignano Flaminio, Lazio, Italia, 304 hivi) ni kati ya mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa katika Dola la Roma wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Abondi alikuwa padri na Abondansi shemasi huko Roma.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Septemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.