Nenda kwa yaliyomo

Ne-Yo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ne-Yo
Ne-Yo mnamo Januari 2013
Ne-Yo mnamo Januari 2013
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Shaffer Chimere Smith
Amezaliwa 18 Oktoba 1979 (1979-10-18) (umri 45) [1]
Asili yake Camden, Arkansas|Camden, Arkansas, Marekani
Aina ya muziki Soul R&B, pop, hip hop, pop dansi, neo soul
Kazi yake Mtunzi, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi, rapa, mnenguaji, mwigizaji
Miaka ya kazi 1999–hadi leo
Studio Def Jam
Ame/Wameshirikiana na Rihanna
Tovuti Tovuti yake rasmi

Shaffer Chimere Smith (amezaliwa tar. 18 Oktoba 1979)[2] ni mwimbaji, mtunzi, mtyarishaji, mnenguaji, mwigizaji na pia rapa kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ne-Yo. Yeye ni Mwafro-Asia ambaye amechanganya kati ya Mmarekani Mweusi (baba) na Mchina-Mweusi (mama).

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Albamu zake

[hariri | hariri chanzo]
Makala kuu ya: Albamu za Ne-Yo

Filamu za kawaida

[hariri | hariri chanzo]

Mwonekano wake katika TV

[hariri | hariri chanzo]
  • Las Vegas (2008)
  • All My Children (2008)
  1. https://www.contactmusic.com/ne-yo/
  2. Tavis Smiley (original airdate 23 Juni 2008 on PBS). Interview with Ne-Yo. Archived 21 Oktoba 2008 at the Wayback Machine. Accessed 9 Septemba 2008.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ne-Yo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: