Altare
Mandhari
(Elekezwa kutoka Madhabahu)
Altare au madhabahu ni mahali patakatifu inapotolewa sadaka au ibada.
Mara nyingi altare inapatikana ndani ya hekalu au kanisa.
Katika dini nyingi kuna madhehebu ya kafara, dhabihu au matoleo kwa Mungu au mizimu. Ndiyo sababu panahitajika mahali pa kufaa.
Katika Ukristo altare inatiwa maanani kwa kiasi tofauti kulingana na imani ya madhehebu husika juu ya Ekaristi, iliyo ukumbusho wa sadaka pekee ya Yesu Kristo iliyotolewa msalabani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Altare katika Biblia, maelezo ya Kiingereza kutoka Catholic Encyclopedia.
- Historia ya altare ya Kikristo, maelezo ya Kiingereza kutoka Catholic Encyclopedia.
- Altare ya Kihindu Ilihifadhiwa 10 Januari 2009 kwenye Wayback Machine..
- Altare ya Kitao Ilihifadhiwa 16 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine..
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |