Nenda kwa yaliyomo

Hideki Shirakawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The printable version is no longer supported and may have rendering errors. Please update your browser bookmarks and please use the default browser print function instead.
Hideki Shirakawa

Hideki Shirakawa (amezaliwa 20 Agosti 1936) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza sifa za polimeri. Mwaka wa 2000, pamoja na Alan Heeger na Alan MacDiarmid alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hideki Shirakawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.