Edward Norton
Mandhari
Edward Norton | |
---|---|
Faili:Ednortongfdl.PNG E. Norton | |
Amezaliwa | Edward Harrison Norton 18 Agosti 1969 Boston, Massachusetts, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mwongozaji Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1994-hadi leo |
Edward Harrison Norton (amezaliwa tar. 18 Agosti, 1969)[1] ni mshindi wa Tuzo ya Akademi na Golden Globe kwa mwaka wa 1997, akiwa kama mwigizaji na mtayarishaji bora wa filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kuceheza katika filamu ya Primal Fear, American History X, Fight Club, The Italian Job, na The Incredible Hulk.
Marejeo
- ↑ "Edward Norton - Frequently Asked Questions". Iliwekwa mnamo 2006-12-19.
Viungo vya nje
- Edward Norton kwenye Internet Movie Database
- Edward Norton katika Notable Names Database
- Edward Norton katika Yahoo! Movies
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |