Nenda kwa yaliyomo

Louis Saha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 09:38, 25 Novemba 2023 na EdwardJacobo42 (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Louis Saha
Louis Saha (cropped).jpg
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 8 Agosti 1978
Mahala pa kuzaliwa   
Nafasi anayochezea mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa

* Magoli alioshinda

Louis Saha (alizaliwa 8 Agosti 1978) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa na klabu ya Manchester United aliyekuwa anacheza katika nafasi ya mshambuliaji.

Saha alianza kuichezea Manchester United kuanzia mwaka 2004 hadi mwaka 2008.

Alifanikiwa kuchukua mara mbili taji la ligi kuu na taji la UEFA la mwaka 2008.

Mwaka 2008 alihamia Everton na kuichezea hadi mwaka 2012.

Mwaka 2012 alihamia Totenham Hotspur.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Louis Saha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.