Nenda kwa yaliyomo

Papa Adrian V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:59, 20 Machi 2022 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Papa Adriano V.

Papa Adrian V (takriban 120518 Agosti 1276) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12 Julai 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ottobuono Fieschi.

Alimfuata Papa Inosenti V akafuatwa na Papa Yohane XXI.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.