Nenda kwa yaliyomo

Raymond Mwanyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 11:38, 13 Desemba 2018 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Raymond Mwanyika (1930 - 24 Oktoba 2013) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1971. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Njombe hadi 2002, alipojiuzulu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.